Random
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 791
- 744
Salaam!
#Hukua na hiyari nayo#;
1. Mahali ulipozaliwa
2. Rangi ya ngozi yako
3. Wazazi, familia zao
4. Jinsia uliyozaliwa nayo
5. Lugha uliyoleleka nayo
6. Jina lako la utotoni
7. Kabila na mila zenu
8. Talanta
# Una hiyari nayo #
1. Mkarim, mwema
2. Mkwel, Muaminif
3. Muadilif
4. Mwenye kushukuru
5. Mweny kuheshimiwa
6. Asiye na makuu
7. Mweny matumain
8. Mweny kufundishika
9 Mwenye furaha
#Hukua na hiyari nayo#;
1. Mahali ulipozaliwa
2. Rangi ya ngozi yako
3. Wazazi, familia zao
4. Jinsia uliyozaliwa nayo
5. Lugha uliyoleleka nayo
6. Jina lako la utotoni
7. Kabila na mila zenu
8. Talanta
# Una hiyari nayo #
1. Mkarim, mwema
2. Mkwel, Muaminif
3. Muadilif
4. Mwenye kushukuru
5. Mweny kuheshimiwa
6. Asiye na makuu
7. Mweny matumain
8. Mweny kufundishika
9 Mwenye furaha