Bedui la bongo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 297
- 307
Mimi nimeanza kutumia line ya Tigo miaka kadhaa sasa ila imekuwa ikitokea mara kwa mara kuwa nakatwa Tsh 100 kila ninapoacha salio endapo ntakuwa sijajiunga nikiweka Tsh 50O au 1000 kama ntachelewa kujiunga basi lazima ntakatwa Tsh 100 hali ya kuwa sijajiunga na huduma yoyote ya tigo nmejaribu kupiga simu customers care mara kwa mara huniambia kuwa nmejiunga na VICHEKESHO mara sms za DINI hali ya kuwa hizo SMS za DINI wala VICHEKESHO sijawah kutumiwa siku nyingine wanasa hawaoni huduma niliojiunga hivyo wanasema watashughulikia ila ndo imekuwa tatizo nachoomba TIGO Acheni WIZI.