Radha ya kugongwa na nyoka ni amazing sana

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,302
2,000
Nyoka ana meno 4 ; 2 chini na 2 juu ambayo ndiyo yenye vijitundu vya kupitosha sumu yake inayoruka ama kunyunyiziwa kama dawa ndani ya sindano.

Nyoka akikugonga maana ake anaacha meno yake sehemu alipokugongea na kukutemea sumu yake. Kwakuwa meno yake huwa yamepinda, anapokugh'ata ghafla akitaka kulimbia, anajikuta kutoa meno yake inakuwa kazi maana yamepinda kwa ndani , hivyo hutoka kwa kuyang'oa / kuyakwanyua.

Hapo nae huchanganyikiwa na maumivu na kuishiwa nguvu ambapo mwisho wa siku huanza kutapatapa.

Akikugonga ni kama mtu kakuchoma sindano au mwiba mkali bila ruhusa yako (kisirisiri). Kuna kauchungu fulani kadogo tu anapokugonga , hatoki na nyama.

Ni radha fulani amazing sana !

Share namna ulivyogongwa na nyoka na uligongwaje . Na nyoka wa aina gani?
 
Ochumeraa

JF-Expert Member
May 18, 2015
4,203
2,000
Kwahyo mkuu we unapenda kugongwa na nyoka, ungekuja hapa ninae nyoka mkali kweli kweli hutojutia akikugonga
 
Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
11,013
2,000
Nyoka ana meno 4 ; 2 chini na 2 juu ambayo ndiyo yenye vijitundu vya kupitosha sumu yake inayoruka ama kunyunyiziwa kama dawa ndani ya sindano.

Nyoka akikugonga maana ake anaacha meno yake sehemu alipokugongea na kukutemea sumu yake. Kwakuwa meno yake huwa yamepinda, anapokugh'ata ghafla akitaka kulimbia, anajikuta kutoa meno yake inakuwa kazi maana yamepinda kwa ndani , hivyo hutoka kwa kuyang'oa / kuyakwanyua.

Hapo nae huchanganyikiwa na maumivu na kuishiwa nguvu ambapo mwisho wa siku huanza kutapatapa.

Akikugonga ni kama mtu kakuchoma sindano au mwiba mkali bila ruhusa yako (kisirisiri). Kuna kauchungu fulani kadogo tu anapokugonga , hatoki na nyama.

Ni radha fulani amazing sana !

Share namna ulivyogongwa na nyoka na uligongwaje . Na nyoka wa aina gani?
Radha.... Lugha mbofumbofu kabisa

Crap
 
rogers_issaya

Member
May 16, 2018
50
95

Kwahio unataka kuniambia huyo nyoka aliekuuma ni mapengo saivi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom