MANYORI Jr
JF-Expert Member
- Mar 25, 2012
- 462
- 343
Mtu anatengeneza shida halafu huyohuyo anajitia kusovu mara watu wanaanza kumpa 'tano' .....sifa za kijinga.
Huyohuyo ana haribu kazi kwa kisingizio cha kutengeneza kazi mara 'watu' wanampa 'gwara' .....sifa za kijinga.
Anawatosa watoto wao kwa kuwabagua kwenye ajira halafu wazazi wanafurahi sana tena sana,wanampongeza kaleta nidham....Sifa za kijinga.
Ananunua tiara ya gazeti chakavu kwa 'fweza' ya gazeti jipya mara 'kasuku' wanaanza kusherehekea ....Sifa za kijinga
Anageuza walinzi kuwa majambanoka watu wanasema ameimarisha ....sifa za kijinga.
Watu wanayeyuka na hata matone yao hayaonekani watu wanapiga makofi... Sifa za kijinga.
Uchu wa me unaporomoka wavuja pafyumu wanacheeeka wanampa heko kwa chati bandia.. Sifa za kijinga.
Watu wa mataifa wanakataa collabo ili wimbo mpya usirekodiwe studio za mbele,watu wanasema akisimama chorus,beti na promo peke yake kutanoga sana kuliko mataifa yakiwemo ....sifa za kijinga.
Ongeza zako,ziwe sifa za kijinga tu.