According to makubaliano baina ya msanii na BASATA ni kwamba basata wanahaki ya kumfungia msanii asifanye chochote kinachohusiana na sanaa yake even kwenda nje ya nchi sababu ya sanaa. BADSATA IS KILLING BONGO FLEVA!
Automatically atakuwa huru mikononi mwa BADSATA maana sio raia tena wa tz.VIPI KAMA AKIONDOKA TZ AKICHUKUA URAIA WA KENYA
TZ MZIKI NDO BASI TENA
madogo waache kuimba matusi,nimepiga marufuku muziki kwangu sababu ya matusi,huo nyegezi hata siujuiAccording to makubaliano baina ya msanii na BASATA ni kwamba basata wanahaki ya kumfungia msanii asifanye chochote kinachohusiana na sanaa yake even kwenda nje ya nchi sababu ya sanaa. BADSATA IS KILLING BONGO FLEVA!
wameshindwa kushawishi watu kwa tungo imara wamebaki kuimba mitusi tu..hakuna mitusi tenaPeleka ushamba wako huko
We bado mtoto mdogo sana,unaijua chuchu sound? Unaijua Bata? Mtalimbo je?wameshindwa kushawishi watu kwa tungo imara wamebaki kuimba mitusi tu..hakuna mitusi tena
eti mi mtoto..pengine nimecheza na mama yako kombolela,wenzao waliimba mafumbo wao mara paka mate mara nipe kwa nyuma,nifinyie kwa ndani..We bado mtoto mdogo sana,unaijua chuchu sound? Unaijua Bata? Mtalimbo je?
Acha ife aina lamaana kila wimbo ni mpenzi mpenzi hakuna kitu kingine!?? Hakuna kuhamasisha watu wajitume kufanya kazii, kusoma kwa bidii ,kuepuka utumiaji WA drugs,kila wimbo mpenzi *** them ifevtuuAccording to makubaliano baina ya msanii na BASATA ni kwamba basata wanahaki ya kumfungia msanii asifanye chochote kinachohusiana na sanaa yake even kwenda nje ya nchi sababu ya sanaa. BADSATA IS KILLING BONGO FLEVA!
Mkuu km unategemea nyimbo ndio kuhamasishe ukafanye kazi basi unaitaji msaada sio bureAcha ife aina lamaana kila wimbo ni mpenzi mpenzi hakuna kitu kingine!?? Hakuna kuhamasisha watu wajitume kufanya kazii, kusoma kwa bidii ,kuepuka utumiaji WA drugs,kila wimbo mpenzi **** them ifevtuu