Mabalozi wetu katika nchi za nje...

Mabalozi wetu katika nchi za nje...

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,618
Reaction score
33,475
Hello wana JF,

Leo nimeona nimshauri Magufuli kuwatumia mabalozi wake wa nje Kama washauri...

Mabalozi wako exposed to different countries ways of living....

Hi yo basi wanajua kinachoendelea ulimwenguni..,

Kabla ya kufanya any policy angweza kuwa ‘consult’ hawa mabalozi aone nchi nyingine zinafanyaje kwenye swala hilo hilo then ndio Afanye conclusion.....

Mnasemaje?
 
Mzee anachojua ni kuamrisha na si kufanya consultation kitu ambacho kinafanya mabalozi kumuogopa zaidi na si mabalozi tu hii huenda mbali zaidi hata kwa wateule wake wengine.
 
Back
Top Bottom