majutobeach
JF-Expert Member
- Aug 10, 2016
- 212
- 164
Kuna tatizo kubwa sana pale mzani wa Mikumi, Askari wa usalama barabarani ni wengi utafikiri wanakagua meno ya tembo kila lori lazima wafungue mlango wagari kiasi cha kusababisha foleni kubwa sana unakuta idadi ya askari waliopo hapo si chini ya kumi na tano mpaka ishirini . Tafadhali sana kamanda Muslim liangalie hilo