NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,869
- 5,170
1.Siku moja nilikuwa kazini simu yangu ikaita ghafla nikajihimu kuisikiliza kule kunyanyuka tu kitendea kazi kikavunjika kule kusikiliza nasikia ujumbe wa miito ya Sauti.
2.Juzi mchana nilikuwa nimelala simu ikaita nikadamka toka usingizini.Kuja kuisikiliza nasikia miito ya sauti huo ndio ukawa mwisho wa usingizi
Jamaani mnasumbua sana jamani mnaweza sababisha hata ajali barabarani
Mngetuma hata kwa message
Natamani TCRA waingilie suala hili