Msaada wa Kufika BEST WESTERN CBD HOTEL jioni hii.

Akili 2

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
1,221
1,829
Habari zenu,
Naombeni msaada wa kufika BEST WESTERN CBD HOTEL, mie mda huu niko huku G/mboto, nataka nikaianzie wikend yangu hapo yani Kula, kunywa na kulala mpaka jumapili hapo hapo.
Mwenye kujuwa au kuelewa nifate daladala gani? na nisimame kituo gani?

Msaada please
 
Ipo karibu na COCABS NA PUMA PETROL STATION, mkabala na railways area barabara ya Nyerere
 
Tatizo sijui tulikosea wapi, unapanga kwenda mahali usipopajua, unafaham gharama zake zikoje? Hii inaonyesha hauna hata chembe ya habari inayoihusu hiyo hotel.
Mimi nataka kufika hapo wewe ungenielekeza tuu, hayo mambo ya gharama ni juu yangu mimi, Kama hukujui au hata hotel ndio unaisikia hapa jf ungekaa kimya tuu mkuu
 
Habari zenu,
Naombeni msaada wa kufika BEST WESTERN CBD HOTEL, mie mda huu niko huku G/mboto, nataka nikaianzie wikend yangu hapo yani Kula, kunywa na kulala mpaka jumapili hapo hapo.
Mwenye kujuwa au kuelewa nifate daladala gani? na nisimame kituo gani?

Msaada please
Mstumizi yote unataka kwenda na daladala? Taxi huzijui?
 
Mstumizi yote unataka kwenda na daladala? Taxi huzijui?
Ninakotoka nikipanda tax itanipa shida ninakotaka, sitaki kujulikana niliondoka na usafili gani na ndio maana nimepanda bodaboda kutoka home harafu napanda daladal baada ya vituo kama vitatu tashuka na kupanda usafili mwingine
 
Bei hiyo ni ya kawaida tu na huwezi juwa kwanini naenda na usafili wa public

Sawa mkuu, jamaa ameshakupa direction hope umemuelewa, nakudondoshea ramani kabisa au unaweza ukaingia google map search itakuletea direction...
 
Ushalipiwa chumba, chukua pikipiki ukifika jamaa atakulipia pia.

Au kama una wasiwasi mwambie atume nauli kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom