tanzanitemusiba
Senior Member
- Nov 2, 2018
- 137
- 90
Wale waliokuwa wanaonekana kuwapinga wanachama wezao kwa kushirikiana na swiswiemu ndio wamekuwa Wa kwanza kuwaunga mkono swswemu mfn kina mtatiroooh, mbunge Wa tmk, nk
Kina prof mapumba ,magida, damumbaya nk eti Leo ndio wanaonekana wanauchungu na chama chao na sio wasaliti kabisa
Ushauri Wa bure kwa upinzani
Kabla ya uchaguzi mkuu bila kuoneana aibu, Fukuzeni viongozi wote wenye dalili ya kuunga mkono, kuanza upya sio ujinga BORA KUBAKI NA VIONGOZI WAWILI WAAMINIFU KULIKO KUWA NA KUNDI LA VIONGOZI WASALITI