Papa Francis amteua Askofu Method Kilaini kuwa askofu wa Tamalluma

SubiriJibu

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
1,803
1,863
Mnamo wiki mbili zilizopita, yaani October 31, 2018, Papa Francis amemhamisha Askofu Method Kilaini kuwa askofu wa Tamalluma.

Kabla ya uhamisho huu askofu Method Kilaini, ambaye amekuwa akiishi Bukoba, alikuwa ni askofu wa jimbo la Strumnitza kuanzia December 22, 1999.
 
Mkuu,hii taarifa nami sijaielewa! Kuna chanzo cha Taarifa hizo?
 
Mnamo wiki mbili zilizopita, yaani October 31, 2018, Papa Francis amemhamisha Askofu Method Kilaini kuwa askofu wa Tamalluma.

Kabla ya uhamisho huu askofu Method Kilaini, ambaye amekuwa akiishi Bukoba, alikuwa ni askofu wa jimbo la Strumnitza kuanzia December 22, 1999.
Tupe maelezo zaidi
 
Mwacheni Kilaini Achunge Kondoo
Escrow
Zilongwa Mbali Zitendwa Mbali
 
Majimbo ya kufikirika hayo. Ataendelea kuwa Askofu msaidizi.
Nimegoogle
Screenshot_20181115-182419.png
 
Back
Top Bottom