Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 224
- 591
Juma hamis alifariki miaka ya nyuma kidogo lakini bahati mbaya aliuawa kimakosa. haikuwa imefika zamu yake. aliuawa badala ya mzungu mmoja aliyekuwa akiitwa John Houghton. Huyu alikuwa muingereza ambaye siku ya yeye kuuawa akasahulika matokeo yake akaja kuuawa juma hamis mndengereko au mkwere. huyu bwana alikuwa mwenyeji wa bagamoyo ambako huko aliishi vizuri sana na watu kiasi kwamba alipokufa alipelekwa huko wanakoita peponi.
maisha huko ni mazuri sana. yale mambo mazuri au matamu ambayo huku huonekana dhambi kule yameruhusiwa. watu wanapiga kinywaji na vinywaji mbalimbali vipo ikiwepo Yohana Mtembezi au John Walker.Peponi alikuta wanawake wazuri sanaambao hawaishi utam na aliambiwa anaweza kuwatumia kadri awezavyo ila hawakuwa wake au wakimilikiwa na mtu yeyote so ni free you call them you... then mwingine naye anaweza endelea nao. wa huko hawapati mimba na hawana magonjwa. hamisi alifurahi sana maisha ya huko. hakuna kuumwa,hakuna njaa, hakuna shida, hakuna kuchoka.
issue iliibuka pale ambapo malaika waligundua kuwa hamis aliitwa kuambiwa sasa anapaswa arudishwe duniani maana aliitwa huko peponi kimakosa.
Hiki ni moja ya vitabu vya fasihi ambacho ukikisoma kimetumia fasihi ya juu hasa ikiwa unakisoma mtu mwenye akili timamu kabisa una akili kiasi flan ya ziada usiwe zero oriented man.pia kinafurahisha sana kwa aina ya maneno yaliyotumika na F.Topan.