habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Amani iwe nanyi waungwana,
Km kichwa cha habari kinavyosomeka, huwa nashwangazwa na kupata tabu sana juu ya hawa tu, kwanini wanapenda kujihesabia haki kuwa wao ni bora zaidi kwa Mungu kuliko wengine?
Kwamba wao wameagana na Mungu na wana haki zote za kupngia wengine na siku ya mwisho km wanavyodai watakaa meza moja wakila na kunywa na Mungu.
Hivi katika dunia yote ni wangapi wanaamini kuhusu Ulokole?
Kila mtu ana haki mbele za Mungu, acheni ujinga maana ujinga ni mali ya shetani.
Huu ni ubaguzi kama ubaguzi wa rangi, kabila nk, acheni mara moja