Azam apunguze midomo ya chupa za maji ya uhai

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
5,082
Reaction score
20,806
Washauri wa Azam drinking water mshaurini apunguze midogo(mzingo/kipenyo) cha chupa za maji ya kunywa.

Vinginevyo awe anauzia maji yake nyanda za juu kusini huki ndio watu wana midogo ina vipenyo vikubwa.

Kuna maji mengine yanaitwa Uhuru, Dew drop, udzungwa na mengine vipenyo vya midomo ni vikubwa sana.

Watu wenye midomo midogo au ya wastani tunapata shida sana kunywea maji hayo kwenye chupa.

Huu ni ushauri wa bure.
 
Huwa siyanywi kwa sababu hiyo tu ukiacha ubora ambao nao ni shida kidogo!
 
Washauri wa Azam drinking water mshaurini apunguze midogo(mzingo/kipenyo) cha chupa za maji ya kunywa.

Vinginevyo awe anauzia maji yake nyanda za juu kusini huki ndio watu wana midogo ina vipenyo vikubwa.

Kuna maji mengine yanaitwa Uhuru, Dew drop, udzungwa na mengine vipenyo vya midomo ni vikubwa sana.

Watu wenye midomo midogo au ya wastani tunapata shida sana kunywea maji hayo kwenye chupa.

Huu ni ushauri wa bure.
Ninyi ndiyo enzi zetu wale ambao wakinywa soda akimaliza lazima tukambadue....chupa au akitoa chupa lazima usikie mlio mkali wa kitu kinachobanduka. Yaani ulimi una nasia.
 
Washauri wa Azam drinking water mshaurini apunguze midogo(mzingo/kipenyo) cha chupa za maji ya kunywa.

Vinginevyo awe anauzia maji yake nyanda za juu kusini huki ndio watu wana midogo ina vipenyo vikubwa.

Kuna maji mengine yanaitwa Uhuru, Dew drop, udzungwa na mengine vipenyo vya midomo ni vikubwa sana.

Watu wenye midomo midogo au ya wastani tunapata shida sana kunywea maji hayo kwenye chupa.

Huu ni ushauri wa bure.
Mkuu nimekusamehe bure kabisa

Uwe na siku njema
 
Huku kwetu safi sana maana hata chapati huwa hazikunjwi.
 
We jamaa hyo chupa wataka fanyia mchezo gani? Nishakushtukia, ina maana hujawahi kunywa maji na glass au kikombe?
 
Back
Top Bottom