Wilson Leguna
Senior Member
- Feb 22, 2017
- 104
- 92
Wadau ninaomba mnijuze athari za uingizaji wa mazao kinyume na taratibu na utoroshaji wa mazao kinyume cha taratibu. Mfano mzuri ki kahawa...wafanya biashara wanatorosha kahawa kwenda Ug..ni makosa tunakosa fedha za kigeni kwa kutokuexport kahawa...lkn hao hao wanaingiza korosho toka msumbiji,tunawakamata tunataifisha...nilifikiri tutafurahia kwa kua tutaexport zaidi kumbe sivyo..ninashindwa kuelewa tunahitaji nn hasa!