Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Imegine kwamba umerudishwa peke yako Miaka 200 nyuma kutoka sasa, lakini ukaachwa na Akili zako hizi hizi ulizonazo yaani unazomiliki kwa sasa bila kuongeza wala kupungua chochote,
Utaweza kutengeneza nini kitakachobadilisha maisha ya watu wa enzi hizo?
Yaani kwa Akili zako za sasa,unadhani utatengeneza nini ambacho Dunia/Nchi nzima itajua na kujivunia uwepo wako?