Kichekesho cha kufungia mwaka cha CCM

Kichekesho cha kufungia mwaka cha CCM

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,488
Reaction score
100,883
Iko Kama ifuatavyo

WB: Tunafikiria kuzuia Mkopo kwa Tz
CCM: Wapinzani hao, hawaitakii mema nchi
WB: Tunazuia mkopo kwa Tanzania
CCM: Poa tu, hatuna Shida na pesa za mashoga, sisi sio mashoga
WB: Tutaipa Tz mkopo na tunataka kila Kijana wa kiume na wa kike apate Elimu (as a condition ya mkopo)
CCM: Wamesema watatoa pesa bila masharti. Tutapata pesa iko nyingi tu
CCM: Aliyesema Hatupati mkopo ni Upinzani, Tena tutapata pesa nyingi toka WB

Unakaa unacheka unafurahi, unaanza kujiuliza, ina maana Leo Tumekubali kuwa Mashoga na kupokea pesa ya kutoka kwa mashoga?

CCM bhana
 
Chadema; anayemshabikia fisadi Lowasa akapimwe akili ,tumemuweka kwenye list of shame

Chadema; watanzania mchagueni Lowasa awe rais
 
Una maana ccm wameishiwa mbinu kiasi wameamua kuchukua kila kitu cha chadema?
I.e hakuna wanachama bora ndani ccm kuweza kugombea ubunge ndio maana wanaachiwa waliotoka CHADEMA!?
 
Iko Kama ifuatavyo

WB: Tunafikiria kuzuia Mkopo kwa Tz
CCM: Wapinzani hao, hawaitakii mema nchi
WB: Tunazuia mkopo kwa Tanzania
CCM: Poa tu, hatuna Shida na pesa za mashoga, sisi sio mashoga
WB: Tutaipa Tz mkopo na tunataka kila Kijana wa kiume na wa kike apate Elimu (as a condition ya mkopo)
CCM: Wamesema watatoa pesa bila masharti. Tutapata pesa iko nyingi tu
CCM: Aliyesema Hatupati mkopo ni Upinzani, Tena tutapata pesa nyingi toka WB

Unakaa unacheka unafurahi, unaanza kujiuliza, ina maana Leo Tumekubali kuwa Mashoga na kupokea pesa ya kutoka kwa mashoga?

CCM bhana
Hii ndo shida ya kuwa na baba jeuri hafu uwezo hana..kuwa jeuri ukijua unaweza kuvimba na kumvimbia yeyote shenzi type..mwambie atuvimbie sisi tu...kawa mpole kama kipiriton nachoshukuru watoto wa kike waliopigwa mimba na viongozi wa ccm watarudi tena mashuleni
 
Sasa midabwada yao humu jf ndio utacheka zaidi !
 
Hii ndo shida ya kuwa na baba jeuri hafu uwezo hana..kuwa jeuri ukijua unaweza kuvimba na kumvimbia yeyote shenzi type..mwambie atuvimbie sisi tu...kawa mpole kama kipiriton nachoshukuru watoto wa kike waliopigwa mimba na viongozi wa ccm watarudi tena mashuleni
Hivi ni Wazazi wa CCM ndio wanatuharibia watoto wetu Kumbe
 
😛ipoooo pawa - waitara chadema

:ccm oyeeeee waitara chadema
 
Back
Top Bottom