LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,993
- 37,900
Mwaka 1987 katika.kijiji kimoja kilichopo katika wilaya moja iliyopo katika MKOA wa Singida yalitokea mauaji ya kutisha dhidi ya kikongwe mmoja kijijini hapo ambayo yalitekelezwa na bwana mmoja aliye julikana kwa jina la Herman Nyingo.
HISTORIA YA MAUAJI HAYO YA KUTISHA
Herman Nyingo mkulima wa Alizeti alifunga ndoa na mkewe mwaka 1981 mwanzoni.
Mwaka 1981 mwishoni mkewe alipata ujauzito lakini miezi minne baadae ujauzito huo ulichoropoka.
Mwaka 1982 Mwishoni mke wa Herman nyingo alipata ujauzito mwingine lakini miezi saba baadae ujauzito huo ukachoropoka.
Mwaka 1985 mwanzoni mke wa Herman Nyingo alipata ujauzito mwingine lakini nao haukuchua muda ukachoropoka miezi michache baadae.
Mwaka 1986 Mwishoni mke wa Herman Nyingo akapata ujauzito mwingine lakini nao ukachoropoka baada ya miezi minne...
HERMAN NYINGO ANATUA KWA SANGOMA.
Baada ya kuona kila ujauzito anaobeba mke wake unachoropoka baada ya miezi michache, Herman Nyingo akasema " USINTANIE" akaamua kwenda kwa babu kujua kulikoni.
Baada ya kupiga ramli Sangoma.akamwambia " Anae kuroga wewe ni babu yako kizaa mama ako. Babu yako ni mchawi na ndio anae mroga mkeo asizae"
Mganga akaendelea kumwambia ' Tutakacho kifanya ni kumfungua mkeo na kumpa dawa itakayo zuia kuchoropoka kwa mimba atakazo zibeba'
REACTION YA HERMAN NYINGO.
Herman Nyingo alikasorishwa sana na hakutaka hata kusubiri TIBA ya mkewe ..
Alicho kifanya ni kwenda porini na kukata mti wa muanzi kisha kuutumia mti huo kutengeneza rungu kwa ajili ya kwenda kushambulia babu yake.
SIKU YA TUKIO
On the fatefully day Herman Nyingo alimkuta babu yake akiwa amekaa. Herman alimnyatia na kunyanyua rungu lake kisha kumpiga babu yake kisogoni kwa nguvu sana huku akitamka maneno ambayo tafsiri yake ya kiingereza ni :
" I AM KILLING YOU BECAUSE OF YOUR SORCERY"
Baada ya kupigwa rungu babu wa Herman alidondoka na kupoteza maisha yake papo hapo.
Herman Nyingo alikamatwa na kuburuzwa mahakamani.
UAMUZI WA MAHAKAMA
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma ilimkuta Bwana Herman Nyingo na hatia na kumpa adhabu ya kunyongwa hadi kufa.
HERMAN NYINGO ANAKATA RUFAA MAHAKAMA YA RUFAA.
Herman Nyingo hakuridhishwa na uamuzi wa MAHAKAMA kuu na hivyo kukata RUFAA.
Hoja ya Herman Nyingo ilikuwa kwamba hakumpiga babu yake rungu kwa lengo la kumuua . Lengo lake lilikuwa kumuadhibu kwa Lengo la kumuonya tu na kwamba kifo kimetokea bahati mbaya.
UAMUZI WA MAHAKAMA YA RUFAA.
Mahakama ya RUFAA ilitoa kanuni tatu zinato tumika Ku establish malice aforethought
1. Silaha iliyo tumika
2. Nguvu iliyo tumika
3. Sehemu ya mwili iliyo shambuliwa
4. Maneno yaliyo kuwa yakitamkwa na mshambuliaji wakati akimshambulia marehemu.
Vitu vyote vinne vilithibitika katika kesi ya Bwana Nyingo.
Silaha aliyo tumia = Rungu la Muanzi ambalo ni kisheria ni silaha ya mauaji.
Sehemu iliyo shambuliwa = Kisogoni, sehemu ambayo ni very sensitive.
Nguvu iliyo tumika = vipimo vya post mortem vilionyesha kuwa nguvu iliyo tumika kumshambulia marehemu ilikuwa nguvu kubwa sana.
Maneno aliyo tamka mrufani wakati wa shambulio = " I am killing u because of ur sorcery "
Mahakama ya RUFAA ili shikilia UAMUZI wa MAHAKAMA kuu na adhabu ya Bwana Herman Nyingo ilisalia vile vile.
SOURCE: TANZANIA LAW REPORTS ( MWAKA SIKUMBUKI)