HV kukopeshwa ni sifa?

HV kukopeshwa ni sifa?

IQ M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
616
Reaction score
320
Mfano, rafiki yangu anapanga kunikopesha sh 10000. Ni prestige Mimi kujisifu kwa wanangu kwamba rafiki yangu au jirani yangu ameahidi kunikopesha sh 10000.wakati huohuo nawaaminisha wanangu kwamba Mimi ninapesa za kutosha.
 
Kukopa sifa kuna watu hawana sifa za kukoopeshwa ila ukiona unakopeshwa sana ujue kuna mali isiyogamishika imeonwa.
 
Back
Top Bottom