AJIRA

AJIRA

Sir Prudence

New Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Je kwa Tanzania mtu akisoma Biotechnology and Laboratory Science anaweza kufanya kazi seemu/sector zipi?Ahsanteni.
 
mpaka unasoma hiyi course na unagraduate bado hujajua utaenda kufanya kaz ya namna gan khaaaa! Mungu tusamehe
 
hospitali unakuwa fundi vifaa wa mahabara... mara nyingi ina soko sana iyo ukimaliza tuu ukosi ajira iyo na maswala ya X ray...
 
Back
Top Bottom