Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Oh, baby now let's get down tonight Ooh baby, let's get down tonight Baby Baby let's get down tonight Ooh Baby, I'm hot just like an oven Ooh Baby now let's get down tonight Baby, I'm hot just...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau hawa idara ya Maji ya Songea ni jipu linalosubili kutumbuliwa ,nimeomba kuunganishwa Maji taklibanj mwezi sasa kila nikienda wananiambia bado vifaa hamna vya kuunganishiwa Maji,ilihali...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
VIICHEKESHO VYA PENSION 1. Watu wanasahau ndani ya pension mchango wa mwajiri ni mkubwa kuliko wa mfanyakazi! 2. Kudai pension kabla ya kuzeeka ni sawa na mtoto Wa shule ya msingi kudai baba ampe...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Wakuu kwema humu ndani? wale diaspora wa nchi za kusini mwa Tanzania hasa Namibia, Botswana na South Africa nawasalimu saana na siishii kuwasalimu ila naombeni mtupe mawili matatu watanzania...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Unajua wabunge wetu wanalipwa shilingi ngapi kwa mwenzi??? Kuna wakati Mungu anamuambia shetani ktk list ya zambi zangu nilizoandika hii yako haipo kabisa aidha kwa sababu ya ukubwa wake...
1 Reactions
1 Replies
927 Views
Hatimaye Serikali kupitia Wizara ya fedha imehalalisha mchezo wa "betting" kama kazi rasmi. Hii inatokana na Waziri wa Wizara ya Fedha kutangaza rasmi kuwa "mikeka na waanika mikeka" wanatakiwa...
0 Reactions
40 Replies
11K Views
Bajeti ya dawa imeongezeka lkn nimekosa dawa za U-T-I imenishangaza sana!!!! Kanda ya ziwa ugonjwa WA U-T-I ni kama vile ugonjwa WA busha Pwani. Lkn hata form zakuwajazia watu wakachukue dawa nje...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
C&p lugman Maloto TANGU mwanzoni mwa Karne ya 19, mhalifu konkodi, Eugene Francois Vidocq, alipoamua kubadilika na kutumia mbinu zake za ujahili kuisaidia Serikali ya Ufaransa, dunia ilipokea...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi nchini linaendelea kufanya upekuzi wa kumnasa mtu anayetumia akaunti ya Daud Balali kwenye mtandao wa Twitter. Jeshi linasema kuwa akaunt hiyo fake imekuwa ikifanya uchochezi na...
1 Reactions
62 Replies
16K Views
Kila mtu ana maoni yake na pengine yanaweza kutofautiana sana na mwingine, Lkn kwa miaka mingi vimekuwa vikitajwa vile vinavyochimbwa ardhini au kupatikana chini ya bahari kuwa ni vya thamani...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
hii ndio hali halisi! Mfanyakazi wa serikali katoa picha hiyo! mfuko empty! miaka mitatu hakuna mshahara mupyaa! maisha yamepanda lakini sie tunaishi kishetani! hali ni tete Mungu tusaidie
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari wanaJF, Nilipata msiba siku kadhaa hapa nyuma,Sasa kilichonishangaza ni hiki tulipoenda kuchukua mwili tukaona tumalize na jambo la kusafisha maiti huko huko, Ila ajabu tukagundua maiti...
3 Reactions
54 Replies
7K Views
Nakumbuka mara ya mwisho kufika jijini deselamu ilikuwa 2015 hivi. Leo nimekuja kutembelea maeneo yangu ya kujidai ( viwanja) nimekuta jiji limebadilika sanaaa. Katika pita pita zangu...
12 Reactions
43 Replies
6K Views
Tangu koro-show ianze huko mikoa ya kusini,baadhi ya media zimekuwa zikiripoti nini hasa kinachoendelea ambacho wakati mwingine ni tofauti kabisa na kile kinachosemwa au kuahidiwa na wazee wa...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii ramani chini ni mchoro wa jengo jipya ambalo litajengwa ilipo sasa stendi ya mabasi ya mkoani ubungo,kampuni ya kichina kama kawqida imeandaa huu mchoro na itajenga ilo jengo
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Salaam wakuu, Nielekee moja kwa moja kwenye mkasa wangu. Kuna mwanamke nilidate nae na baadae kuamua kumuweka kando. Hii ilitokana na tabia yake ya ukorofi na ugomvi yani kila sku alikua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Napenda kuchukua fursa hii kutoa mchango wangu juu ya matumizi mabaya ya neno "Ameen " Hili neno linatokana na neno la Kiebrania "Amina" likiwa na maana ya "Na iwe hivyo." Neno hilo lilitumika...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mzee huyo Chilemeji Maendeleo Mukama mwenye umri wa takribani miaka 94 amefariki jana katika hospital ya Kibara Bunda mkoani Mara. Taarifa/ ratiba kamili italetwa hapa hapa jamvini Nyamhanga...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu Yule gavana wa Benk kuu ya Tanzania aliyejificha nchini marekani tumepata taarifa za uhakika kutoka kwa ndugu zetu waliopo huko kuwa amekuwa akionekana maeneo ambayo ni very...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Nimepita mbezi mwisho saivi makutano ya barabara mbele ya Shel ya oilcom Hiace na Tipa ya mchanga zimegongana vibaya sikuweza kuchukua picha. Sijajua Kama kuna waliopoteza maisha
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom