Freezer inauzwa

Freezer inauzwa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Freezer hii ni mpya haijatumika tangu inunuliwe inauzwa ,

Location: Dodoma mjini.
Bei :550K (laki tano na nusu)

Warrant ni mwaka mmoja


Risiti ya manunuzi inapatikana.

IMG_20181013_092413.jpeg
IMG_20181013_092321.jpeg
IMG_20181013_092315.jpeg
IMG_20181013_092307.jpeg
 
Iliibiwa dukani hata haijatumika?
Au mnauza zawadi za harusi?
Ingawa hivyo weka room ya bargain mkuu.
Mkuu kitu kilichoibwa kinaweza kuwa na Risiti pamoja na Warrant kweli?


Njoo PM kama unaitaka tuongee
 
Back
Top Bottom