Mke wa RC Tabora , Grace Mwanri anena mazito

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Leo November 23, 2018 Tunae Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri katika Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com ambapo ametueleza mambo mengi ikiwemo maisha ya Mumewe akiwa nyumbani na jinsi ambavyo yeye anamchukulia.

Mke wa RC Mwanri ambae jina lake ni Grace Mwanri nimemnukuu akisema “Watu wanaomfahamu wa karibu sio mkali wakusema ni kumuogopa kiasi kile, ukiona ameongea vile jua amekereka au ameudhiwa, anataka watu wafanye walichoagizwa si na Serikali tu! ila hata na Mungu”

“Katika Familia yetu ni mtu mcheshi sana tunatamani kuwa nae, sababu tukiwa nae tunatia stori, tunaongea tunafurahi huwezi kuta tumekasirikiana si Mimi wala kwa Watoto” -Grace Mwanri

“Akiwa kwenye msiba akitoa salamu au akizungumza watu huwa wanajisahau wapo msibani wanaanza kushangilia na kuanza kupiga makofi hicho ni kitu Mungu ameweka ndani yake”
 
Mada hii umetolewa na mtoto au?
Kichwa cha habari na stori ni mbingu na ardhi.
 
Nachofahamu hata huku uswazi kwetu Mama zetu Wanakataaga japo watoto wao kama ni wezi japo ukweli mchungu hubaki nao moyoni...SIJUI HUKO KWENU HALI IKOJE?
 
Leo November 23, 2018 Tunae Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri katika Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com ambapo ametueleza mambo mengi ikiwemo maisha ya Mumewe akiwa nyumbani na jinsi ambavyo yeye anamchukulia.

Mke wa RC Mwanri ambae jina lake ni Grace Mwanri nimemnukuu akisema “Watu wanaomfahamu wa karibu sio mkali wakusema ni kumuogopa kiasi kile, ukiona ameongea vile jua amekereka au ameudhiwa, anataka watu wafanye walichoagizwa si na Serikali tu! ila hata na Mungu”

“Katika Familia yetu ni mtu mcheshi sana tunatamani kuwa nae, sababu tukiwa nae tunatia stori, tunaongea tunafurahi huwezi kuta tumekasirikiana si Mimi wala kwa Watoto” -Grace Mwanri

“Akiwa kwenye msiba akitoa salamu au akizungumza watu huwa wanajisahau wapo msibani wanaanza kushangilia na kuanza kupiga makofi hicho ni kitu Mungu ameweka ndani yake”
Non sense article
 
Anatuletea hadithi za alfu lela holela Esopu, Ekaya za abunuwasi
 
Mwanri ana drama sana..ila asizidishe kuwatisha professionals kama madaktari na engnenners hilo tu lilinikera ..angewaambia bila kuwatisha ...maybe anajua c professionals ni mamuruki
 
Wengine tumekuja mbio mbio tusome hayo mazito kumbe hakuna la maana.
 
Weka picha ya Grace tumuone mtu pekee anayeweza kumtuliza huyu mbogo.
Tupia picha ya mama mkuu
 
Back
Top Bottom