Hivi kwanini tunasoma hadi kuwa maprofesa?

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Ukisoma mfano udaktari unaenda kuajiriwa kutibu watu, ulipwe vizuri maisha yaende.
Ukiwa mwanasheria vilevile uwanasheria wako ukutoe kimaisha.
Sasa mnaponiambia mimi Mhandisi nilime matikiti, nyanya, ufuta, mpunga, korosho,nk nk ili kujiongezea kipato huu si upuuzi huu.?
Kama hivyo vitu vinalipa si ningeenda kufanya hizo biashara mara tu nilipomaliza fomu 4?
Hebu tuheshimiane; mtumishi wa umma alipwe vizuri, maana alisotea hiyo taaluma yake.
Mfanyabiashara naye awekewe mazingira mazuri ya kufanya biashara ili maisha yaende.
Kutulipa watumishi wa umma mishahara midogo ni kudharilisha Elimu yetu ya Tanzania
 
Tuna soma ili tuweze kupambana na mazingira yaliyo tuzunguka Angalia series ya The 100 elimu jinsi inavyo wasaidia Wale sky crue
 
Ukisoma mfano udaktari unaenda kuajiriwa kutibu watu, ulipwe vizuri maisha yaende.
Ukiwa mwanasheria vilevile uwanasheria wako ukutoe kimaisha.
Sasa mnaponiambia mimi Mhandisi nilime matikiti, nyanya, ufuta, mpunga, korosho,nk nk ili kujiongezea kipato huu si upuuzi huu.?
Kama hivyo vitu vinalipa si ningeenda kufanya hizo biashara mara tu nilipomaliza fomu 4?
Hebu tuheshimiane; mtumishi wa umma alipwe vizuri, maana alisotea hiyo taaluma yake.
Mfanyabiashara naye awekewe mazingira mazuri ya kufanya biashara ili maisha yaende.
Kutulipa watumishi wa umma mishahara midogo ni kudharilisha Elimu yetu ya Tanzania
Education for improving quality of human life not for imrpoving your life in person, but the life of the people and non-human in the planet earth. If you go to school to improve your life in person that is not the purpose of education. Then you better ended at ordinary level and plunge into business to reap from the educated to get rich quickly because the educated are there to make the uneducated live quality life.
 
Back
Top Bottom