tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,008
- 1,955
Salaam wapendwa, Leo nimefungua TV (TBC) nikakuta kuna kipindi cha Tanzania ya viwanda wakiwa wilayani Missenyi, nimekuta wako kwenye kiwanda cha kutengeneza Gypsum Missenyi, kwakuwa nimekuta kipindi kinaendelea sikujua hiki kiwanda kiko Missenyi sehemu gani. Hivyo kwa yeyote anayejua kilipo kiwanda hicho hapo Missenyi anisaidie kunielekeza. Nitashukuru.