Hawaamini wanachokiona

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,989
Duuuh ni kweli kwamba kila muwamba Ngoma huvutia upande wake,NI kipindi kirefu Sana toka CMG ianze Tamasha la Fiesta lakin Leo inasadikika kuwa Tamasha hili linasitishwa kwa sababu zisizo za msingi ambazo zilionekana kwenye barua iliyotumwa Jana humu.

Swali je serikali ni kwanini walitoa kibali Cha Tamasha hili toka mwanzo na kwanini hawakuiona effect au hayo malalamiko hayakutolewa toka juzi ili kuwezesha CMG kujipanga?ni swali ambalo halitakuwa na majibu ya msingi ila ifike wakti fitna ziishe kwa sababu inawezekana pia kuondolewa kwa Tamasha la Fiesta ikapelekea kupooza kwa Tamasha la Wasafi sote ni Watanzania,tayari mshaondoa ajira za kina Rostam,Weusi inakuwaje Kama wakishajipanga au kumuahidi mwenye nyumba Kama atalupwa baaada ya wiki,

This is not fair.

Mpaka sasa Hatuamini Tunachokiona.
 
Lakini barua si imejieleza kuwa kutokana na malalamiko ya wagonjwa au? lakini mawingu wenyewe ni watu wafitina sana acha nawao yawakute na si kweli kwamba tamasha la Wasafi festival limepooza! hii si kweli amini nakuambia ile Team ya WCB tu inatosha kuutingisha kila mkoa na fiesta asiambulie ata nusu ya WCB kwenye show.
 
Nenda Tweeter na mtafute Carol Ndosi.Barua hiyo ni ya kawaida sana ila cha kuangalia kwa macho manne ni pale Le Mutuz anapomwandikia Carol kwa niaba ya Mkuu wa mkoa,hapo pozi limeniishia na wanaojua kusoma kati ya mistari wanaweza kutueleza zaidi.
Ok ahsante ngoja nikaicheki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom