figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,201
- 64,681
Imeelezwa kua mtu mmoja mkazi wa Makumbusho Jijini Dar es Salaam amejinyonga kwa kamba chumbani kwake kwa kilichoelezwa kua ni kisa cha mapenzi na nduguye aliyekataa kuolewa naye.
Katika barua aliyoiacha, marehemu amelalamika kwamba aliacha familia yake mke pamoja na watoto watatu akiamini kwamba atamuoa huyu binti alyempenda.
Baada ya muda wakiwa kwenye mahusiano, mwanamke kageuka na kusema hawawezi kuoana sababu ni ndugu.
Mwanaume uvumilivu ukamshinda, akasema kukukosa wewe bora nife. Akajitundika.
Mwili umechukuliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.
Judith Karumba afisa mtendaji wa Makumbusho kathibitisha tukio hili.
MY TAKE;
Wanawake acheni kutukoleza, mtatutoa roho mtumalize. Ila huyu mwanaume sio wa Dar