Msomi hewa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 768
- 1,067
KIFO:
kwanini haujawahi kuwa rafiki wa mwanadamu, Kwanini usifute uadui ulionao kati yako na maisha, kwanini unakuja kwa kuvizia kama vile mwivi, Furaha yako ni ipi ewe KIFO je nikushuhudia machozi yetu tunapowalilia wapendwa wetu?, Kwanini umekua Adui wa uhai Tangu awali, Kwanini unatuchukulia wapendwa wetu? nakuuliza wewe KIFO nijibu basi, Nasikia ume kuwapo tangu kabla je ni kweli? ni ipi dhamira yako kwa kiumbe hai? je ni kushuhudia anguko lake?, Wewe KIFO ni mwoga unashambulia kwa kuvizia, Laiti ungejionesha nakuhakikishia ningekua tayari kupambana na wewe na amini ya kuwa usingenishinda, JITOKEZE tupambane macho kwa macho.
Napenda kuona mwisho wako ewe KIFO, Umekua muasisi wa Anguko la mwanadamu tangu hapo, Tofauti na Uhai ulivyo wewe ni Adui wa Maisha, labda niseme wewe ni muharibifu wa Ulimwengu, Kiumbe kisicho kuwa na ustaarabu wake, Ona UHAI ulivyo mzuri–unafurahiwa! hujisikii wivu namna watu wanavyokuongelea ewe KIFO? ukilinganishwa na UHAI, i swear i will take you Down!.
Ona sasa–Kumbe hamna tofauti yoyote kati ya aliyekufa na ambaye hajazaliwa! ni ajabu eenh?, kimsingi watu wote hao hawapo.
Tutegemee kusikia lolote kwanzia sasa,
NIMEUMIA SANA, IT WAS TOO EARLY.