Bakwata Arusha kuchangisha Milioni 30 za Msikiti

Bakwata Arusha kuchangisha Milioni 30 za Msikiti

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2016
Posts
757
Reaction score
1,822
Baraza kuu la waislamu Bakwata,wilaya ya Arumeru linatarajia kukusanya kiasi cha zaidi ya Milioni 30 katika harambee ya kuchangia ujenzi wa mradi wa Msikiti na kituo cha kulelea watoto Yatima katika eneo LA Patandi Tengeru itakayofanyika Novemba 25 katika hotel ya Naura jijini Arusha

Akiongea na waandishi wa habari waliotembelea mradi huo, Imamu wa Msikiti wa Patandi,Omari Kolo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ujenzi huo,amesema kuwa fedha hizo zitasaidia kuendelea na awamu ya pili ya ujenzi wa msikiti huo utakaogharimu kiasi cha sh,bilioni 2.

Amesema katika.harambee hiyo itakayoongozwa na Mkurugenzi wa taasisia ya utafiti wa wanyama pori TAWIRI,Simon Mduma, watu mbalimbali Mashuhuri wamealikwa kufanikisha shughuli hiyo itakayoanza majira ya SAA 8.30 Mchama na kwamba watu wote walioalikwa wanapaswa kufika kwa wakati na jambo hilo.

[https://lh3]

[https://lh3]

[https://lh3]

[https://lh3]

[https://lh3]
 
Hawana Jipya hao " ... wezi wakubwa
 
Back
Top Bottom