Rais Magufuli, hivi hii shule ndio wanasoma watoto wa wapiga kura wako?

mr yamoto

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
923
1,393
Ni aibu sana, Hivi kwanini wasitoe elimu watu wachangie jamani.

Screenshot_2018-11-22-13-50-54.jpeg
IMG_20181122_134702.jpeg
IMG_20181122_134706.jpeg
IMG_20181122_134713.jpeg
IMG_20181122_134709.jpeg
 
japo serikali inazingua ila na wananchi wanazingua, wameshindwa jitolea nguvu kazi wakafyatua tofari na kupandisha boma waiombe serikali kuapua, na kumalizia.

wananchi na serikali wote wanazingua sana
Pia unazani ulikuwa na sababu gani kutoa ada?
 
Back
Top Bottom