Makundi Ya Damu Na Uwezo Wa Akili.

Makundi Ya Damu Na Uwezo Wa Akili.

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,768
Reaction score
21,871
Inasemekana...... Je ni Kweli Makundi ya Damu Yanachangia Kwenye Uwezo wa Akili?

Kulingana na utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Jerash, Jordan na kuchapishwa katika jarida la International Journal of Academic Research in Education mnamo mwezi September, 2014 ulionesha haya mambo mawili makubwa:

1. Watu wenye kundi la damu AB ndio wenye uwezo mkubwa zaidi wa akili kuliko makundi mengine ya damu. Hii ilithibitishwa kwa kuwa wenye kundi hili la damu ndio walifaulu vizuri mtihani wa kupima uwezo wa akili waliopewa [Intelligence Quotient (IQ) test].

2. Wale wenye kundi la damu B walionekana wana uwezo mdogo zaidi wa akili kulinganisha na makundi mengine ya damu.

Sasa naombeni wale wajuvi wa haya mambo watusaidie, haya mambo yana ukweli wowote?

IQ.PNG
 
View attachment 945368
We group lako ni lipi B au?
 
Group langu halina uhusiano na haya nliyoandika mkuu..

Me mwenyew nmeuliza kwa wataalamu ili watupe ukweli wa mambo ulivyo.
Okay Mkulu malizia basi magroup yaliyo bakia tujijue ni vilaza au vipi
 
Mwee mwee mwe mwe mleta mada punguza masihara ujue....kwaiyo unataka kunambia mm ni mbumbu bila kujijua
 
Back
Top Bottom