Jamani hasa wanaume kuna mtu amewahi kulia ile serious akiwa peke yake kisa kusalitiwa na mpnz wake namaanisha yule dem ambaye serious ulimpenda na kua na malengo nae
Mambo ya kufuatilia ktk maisha ni mengi sna inategmeana akili yko untka ifikirie nn ww mwenyew ndio unaamua kila mara unatkiwa kuchagua fungu lililo jema maisha hymsubiri mtu wkt ww unalia kuna mtu sehem nyingne anaingiza pesa kwenye baishara zke jipime mwenye utpata majibu mazur
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.