Ushirika ufutwe

Ushirika ufutwe

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
400
Reaction score
472
Mdau Wa masuala ya Kilimo kutoka mkoani Kagera,anayehudhuria warsha ya baraza la Kilimo la Taiga (ACT) unaoendelea jijini Dar,amemtaka Rais Wa JMT kuufuta ushirika kwa muda Wa miaka 10 ili kujitathmini kutoka na na madhira waliyowatendea wanachama wao.

Akizungumza kwa jazba huku akitaka kulia,mzee huyo mwenye miaka zaidi ya 70 alisema kama akikutana na Rais,jambo la kwanza atakalomjulisha ni kuhakikisha ushirika unafutwa kabisa.

Wadau,je umefika wakati Wa kuufuta ushirika?
 
Back
Top Bottom