Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kwa mfano wiki ijayo labda akija hapa nchini Rais wa Urusi Vladmir Putin kwa ' ziara ' yake ya Kikazi hapa nchini ni nani anakuwa anaangalia ' Usalama ' wake pindi akitua tu, akiwa nchini na hadi...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kuikamata gari aina ya Toyota Harrier iliyoibiwa DSM. Jeshi la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kuikamata gari aina ya Toyota Harrier ilioibwa jana...
3 Reactions
59 Replies
10K Views
Karibuni............ kuna mdau mmoja aliniambia akipata pesa atatatua shida zake zote sasa turejee swali.... ukijibu useme kwa nini kimmalize mwenzake?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi mtakumbuka Mara baada tetemeko kutokea serikali ilikimbia mbio kwenda kuandaa mazishi ya waliokufa ktk tetemeko hilo kitaifa. Watu wengi tukategemea kinachofuata ni serikali...
1 Reactions
2 Replies
756 Views
Magazeti mengine yanafuata sera za kisiasa kadiri ya chama wanachoshikamana nacho. mengine yanatumiwa na watu wenye nguvu au serikali. yapo mengine ni ya kidini na humu uzini cjayahusisha kabisa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Redirect
Mgombea ubunge Jimbo la Mbarali haroon-mulla MTOTO wa Mbunge wa Mbarali, Haroon Mulla (CCM), ametiwa nguvuni kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo pamoja na nyama ya pori kinyume cha sheria...
1 Reactions
Replies
Views
Wapendwa, Mwaka jana liliibuka suala la bei ya sukari kwamba ilikua ni kubwa mno, maagizo yalitolewa kwamba ishuke adi 1800 per kg, chakushangaza baada ya tamko sukari ikapanda bei tukaambiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Mamlaka ya nguvu za Atomic ya Urusi (ROSATAM) imefikia makubaliano na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania kuendeleza na kujenga kinu cha Nyuklia nchini. Katika makubaliano hayo ROSATAM itajenga kinu...
8 Reactions
46 Replies
6K Views
Hii ni moja ya mithali za mfalme Suleman Mungu hapandi mtu mwenye kiburi, anawependa sana wanyenyekevu Kuna mifano mingi katika Biblia ya wafalme waliojiinua Mungu akawaangusha vibaya 1-Mfalme...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, LAPF, PPF, PSPF. nk Naombeni muongozo kuhusu mifuko ya pension kwa muajiriwa; 1. Je, mfuko ipo ni mzuri ukilingamisha na mingine, hauna makato makubwa saana & huduma zao n nzuri...
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Shughuli zilisimama mjini Dodoma baada ya polisi kuonyesha namna ya kukabiliana na tukio la uporaji fedha kwa kutumia silaha ambapo wananchi walikuwa hawajui kinachoendelea
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati agenda ya wanavyuo wengi kukosa mikopo mwaka huu, na wengi wakiendelea kulalamikia vigezo vilivyotumika kupata mikopo kukiuka vigezo vya mwanzo vya utoaji mikopo, Mkurugenzi wa wilaya ya...
9 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakati niko Shule Mwalimu wangu alikuwa anasema kwamba Samaki inasaidia sana ukuaji na ustawi wa Ubongo hasa wa Watoto, kwa sababu ya protini nyingi inayopatikana kwenye nyama ya Samaki! Na kweli...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Wiki kadhaa zilizopita nilipotembelea Bagamoyo mkoa wa Pwani nilipigwa na butwaa kuona baadhi ya wanafunzi wa shule moja ya sekondari kuvaa soksi bila ya viatu, huku wengine swakipekua. Nilibaki...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Habari za jioni wana JF mie mgeni hapa JF, kuna matukio mengi nayapata nasijui nina upload vp yakiwa katika mfumo wa Vidéo.PLZ msaada.
0 Reactions
0 Replies
726 Views
  • Redirect
Tarehe kama ya leo ,mwezi huu, mwaka Jana..25/10/2015. Ndio watanzania tulifanya maamuzi ambayo kwa sasa tu nataman iwe kama ni njozi.. . Tunaisoma namba kwa ukaribu zaidi
0 Reactions
Replies
Views
-->>wafanyakazi katika fishing boats huitaji DISCHARGE BOOK,ukizingatia chombo husika Hakitoki nje ya nchi? • wajuvi kama wapo naomba kujuzwa. *mods pls sticks the thread no one related since...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Ukiangalia upande wa magharibi baada ya Jua kutua, kuanzia saa moja hivi karibu na upeo kiasi nyuzi 30, utaona nyota kali inan’gaa angani. Nyota hiyo si nyingine ila ni Zuhura (Venus) ambayo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi tulisikia mengi mara mmoja kawahi kazini kafungia wafanyakazi nnje Mara ziara za kutembelea mbuga Mara ziara za kushtukiza mahospitalin na nini na nini Mara ziara za kumtembelea jj mwaka...
0 Reactions
5 Replies
900 Views
Back
Top Bottom