Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 720
- 1,547
Hello bosses
Hawa Vodacom sijui wananiibia mimi tu, ipo hivi juzi jumamosi nilijiunga bondo la GB 1 la masaa 2
Nikatumia tumia cha kushangaza zilizilipo fika MB 916 kati ya MB 1024 bando likakata sikuelewa sababu
Sasa jana jumapili nikajiunga tena ili nipate uhakika kwa kilichotokea jana jmosi nikajiunga tena BG 1
Baada ya kujiunga nimetumia mpaka zimefika MB 788 nikapata text wameniambia zimebaki MB 150 ambapo ukichukua 788+150=938 au uki add tena mb 23 unapata 961
Baada ya mda tena nikashangaa eti kifurushi kimeisha