HESLB mnatuonea wanufaika

HESLB mnatuonea wanufaika

KULIMGA

Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Nilikopeshwa na HESLB. Wamekata pesa na ziada. Kurudisha wanasuasua. Wakopaji wanalipishwa penalty na value retention fee.Kwanini hiyo penalty na value retention fee isilipishwe na kwao kwa kukata fedha zaidi ya mkopo wa muombaji???
 
Hao bodi nini nimewazilia mshahara wangu waukate hadi wafurahi wenyewe!
 
Sisi tuliomaliza miaka kenda iliyopita. Sijui tutaanza kulipa lini ?
 
Ndugu subiri Kiama.Utapigwa penalty Kubwa then Kuna value retention fee.
 
Back
Top Bottom