VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,611
- 13,177
Ushauri kwa bodi Parole, December tuna sherehe za uhuru, kama kawaida Amiri jeshi mkuu anatoa msamaha.
Punguzeni vigezo mfano
wale waliokaa mahabusu muda mrefu kesi zaidi miezi 6
Kesi za kisasa ,
Kesi za makosa madogo uchochezi
Makosa mitandaoni
Hukumu makosa madogo endapo katumikia robo vifungo yatosha.
Kwa ufupi jela juma moja ni adhabu tosha.
Pia wale wa vifungo virefu tuwape mafunzo maalumu wazalishe,viwanda ni,mashamba ni nk.