.NET Framework 4.0 inanikosesha amani

Mkwala

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
1,158
1,227
Habari,
Rejeeni kichwa cha mada hapo juu.Nimepata changamoto nilipokuwa nataka kuweka baadhi ya programs kwenye PC yangu.Nikifanya configuration&installation nakwama inasema run/install .NET Framework 4.0.Sasa pamoja na jitihada zangu za skills kidogo kwenye software NIMEKWAMA.Nawasilisha kwenu Wabobezi kwa ufumbuzi,ushauri na maelekezo yenu.
Natanguliza Shukrani zangu za Dhati
Nawasilisha.
 
inasema run/install .NET Framework 4.0

Mkuu hapo ingia mtandaoni then download hio framework latest version, pia unaweza ku update windows yako unayotumia then itaingia automatic.

Thank me later
 
Pole sana kiongozi, mimi nilipata tatizo pia, na nilisovu kwa njia ifuatayo.

1. Fungua command prompt mode windows (cmd command).
NB:Open as an administrator.

2.Andika command kama ifuatavyo

3. net stop wuauserve

4. Usiongeze chochote kwenye hiyo command, utaona execution ya hiyo command.

5.Assuming imekubali, then nenda kainstall .Netframework kama kawaida.

6. Kama hujaelewa, check youtube kwa kusearch Netframework error

Hii ni kwa OS zote, Goodluck mkuu
 
Back
Top Bottom