ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
Jana nili order takeaway pizza mbili Batman Pizzeria maeneo ya Goigi. Pizza moja ya chicken (shs 12,000) na nyingine inaitwa Santa Fe nayo inakuwa ni chicken na garlic (shs 14,000).
Lahaula! Cha ajabu na kilichonisikitisha nilipofika nyumbani ni kwamba hizi pizza HAZINA nyama yoyote ya kuku ambayo inaonekana kwa macho! Labda mtu utumie darubini kuona hivyo vipande vya "chicken".
Nilikula vipande 3 au 4 sababu ya njaa tu, na sikuwapa wanangu kama nilivyopanga badala yake leo asubuhi nimewapa kuku pizza nzima na robo tatu kama snacks.
Ni wizi mtupu na aibu hawa jamaa kudai wanauza pizza za "chicken" lakini hiyo "chicken" hamna kabisa.