naanza kama ifuatavyo:jana nilikwenda kuweka hela kwenye mtandao furani wa simu ilikuwa 1.2m,lakini sikuipata huduma hiyo kwakuwa muhudumu alisema hana default.nikaondoka nikaenda sehemu nyingine...
Salaam
Kuna led tv aina ya sony bivaria imetoka dubai sasa lugha ilikuja nayo ni kijapani nimejaribu kugoogle niweze kubadili lugha napata ipo kwenye setting lakini kila nikijaribu kuingia...
UJINGA NDIO UMASKINI…
Nawaza sana pale ninapoangalia namna nchi yetu inavyotumia gharama kubwa kulipia vitu ambavyo tunavyo miaka nenda rudi.
Nchi yenye maporomoko ya maji inaendelea kuwa mteja...
Hivi nyie binadamu mna matatizo gani?
Unapooenda benki kuomba mkopo watakusumbua ile mbaya, mara hiki bado mara kile, ooh twende tukakague dhamana n.k.
Vyote hivyo sina tabu navyo kwani ni...
Wana JF,
Kuna hii sheria ya kueleza pesa ulizonazo uwanja wa ndege unaposafiri. Je:
1) Ni kiasi gani kinatakiwa kuwa declared?
2) Je ni wakati wa kuingia Tanzania tu, ama wakati wa kutoka tu...
Habarini.
Najua kuna kasumba ya wananchi eti jeshi letu halisemwi hata kama lakosea.
Inapokuja suala la kuvunja sheria za barabarani kwa vyombo vya moto nafikiri ktk taasisi zote nchini, jeshi la...
Mapema leo baada ya swala ya Ijumaa ofisini ya Maulana Sheikh Hemed Jalala imempokea Profesa Ibrahim Lipumba aliyekuja kutembelea Maulana ili kubadilishana mawazo na kujuana
Maulana Sheikh...
MONDAY, 31 MARCH 2014
Njia 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART).
Kwa kuanzia...
1. Saga mpande kwa ndimu kisha ujipake mwili mzima kwa muda wa siku ishirini na moja.
2.Chuka halititi na uchanganye na mafuta ya zayti na uwe unajipaka saa ya kulala kila siku kwa muda wa siku...
Salaam,
Habari za mida hii wadau, bila kupoteza muda naomba niingie moja kwa moja kwenye mada, ilikuwa wiki kama nne zimepita nilipopigwa cheti barabara ya morogoro karibu na kimara kwa kosa la...
Salamu kwako boss wangu kazi uliyonipa nakaribia kuimaliza wakati nikiendelea na kazi nimefikiria mengi kuhusu mustakabali wangu hapa kazini matendo na uongozi wako kwangu unaonyesha dhahili kuwa...
Mtu unatoa michango yote ya ujenzi Wa kanisa/ msikiti lakini mwisho Wa siku tena unaombwa UJITOLEE MANPOWER
Unachangia bima ya nyumba au Gari kwa bei kubwa lakini mwisho Wa Siku LAZIMA UWE NA FIRE...
habari wana Jf ..
Niende moja kwa kwenye mada, kwenye maisha sio kila kitu waweza kumiliki yaweza kuwa sababu tumetofautiana uwezo na tunaishi kwa kusaidiana/kufaana (ujirani mwema) kwa kushea...
Habari za mchana wakuu
Wakuu huwa kuna siku nakuwa niko free sasa nimepata wazo Nilikuwa na nia ya kujitolea kufanya kazi yoyote kwenye non profit organization zinazo hudumia watu mfano...
Kuna taarifa kwamba, shirikisho la vyama vya wafanyakazi TUCTA litafanya mkutao na wanahabari kutoa tamko juu ya mafao. Je, TUCTA watakuja na nini jipya kwa serikali na wafanyakazi iwapo...
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesitisha likizo zote za watendaji wakuu wa mkoa na wilaya ili wasimamie ujenzi wa madarasa mapya kwenye shule za sekondari.
Mndeme ametoa agizo hilo...
Naanzisha uzi huu sio kwa nia ovu bali naangalia usawa ulivyo meza za machinga sasa zipo madukani bidhaa zinazouzwa na hao machinga zinafanana na zilizopo madukani.
Huyu machinga yy kama analipa...
Mama mmoja kindakindaki wa CCM alikuwa haelewi kitu kuhusu mzee baba, akikuwa akipenda kuhitimisha kuwa "Tanzania tumepata chaguo la Mungu, tumwombee". Siku akakumbwa na dhahma ya vyeti fake...