Habarin za muda huu Wanajamvi…!!
kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu,, nipo Mbeya kama mwezi wa tatu hivi kwa shughuli binafsi,, lakin kitu nilichokion ni wimbi kubwa la wanaume hasa...
20% PAYE
10% PSSSF
15% HESLB
06% NHIF
02% RAAWU
10% FUNGU LA KUMI
TAKE HOME 37%
Hapo hujakopa Posta/CRDB
Baadaye unastaafu na mafao 25%
FUNZO: UTUMISHI WA UMMA NI WITO
Ni karibu wiki ya pili sasa kumekuwa na mjadala kuhusiana na kanuni/sheria mpya za mafao. Mjadala huo ambao ulimuibua Spika wa Bunge Job Ndugai hata kusema kuwa bunge halistahili lawama hizo kwa...
Habari Wana JamiiForums;
Naomba kuuliza kwanini dunia nzima inapenda sana kwenda Marekani? Yaani huwa ni furaha kwa familia au ukoo mzima pindi wakisikia flani anaenda Marekani
Huko Marekani...
Ikiwa wengi wetu tunakaa maeneo ya mbali na kazi, definitely kuna kuwa na gharama za kukufikisha kazini na kukurudisha nyumbani.
Tuambie, wewenzetu umatumia sh ngapi?
Mie nikitumia gari binafsi...
Mkuu wa wilaya ya mbulu mh chelestino s mofuga Leo 29/11/2018 amefanya mkutano wa hadhara kata ya Dongobesh kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua
Mkuu wa wilaya akiwa na jopo la wataalam...
Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ametoa maagizo kwa wakurugenzi watendaji wa Halmashauri.
Kuhakikisha wanatoa kipaumbele kwa wanachama wa mfuko wa BIMA ya afya iliyoboreshwa iCHF ili iwe...
Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ametoa maagizo kwa wakurugenzi watendaji wa Halmashauri.
Kuhakikisha wanatoa kipaumbele kwa wanachama wa mfuko wa BIMA ya afya iliyoboreshwa iCHF ili iwe...
Direct to the topic sitoi hata salamu
Hizi route wanachokifanya wanapakia watu kuelekea Kibamba/ Mloganzila cha ajabu gari ikifika Mbezi inapanga foleni pale stand ili ijaze. Yani kama umepanda...
Huu tunaambiwa ni Uchumi wa Viwanda,Serikali ya Viwanda,ziliwahi Kuwa Tetesi kuanzishwa kwa Kiwanda Cha cement Shinyanga maeneo ya Kizumbi.Kiwanda ambacho kingeweza Kusambaza cement mikoa ya...
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Niwape habari njema ndugu zangu watanzania wapenda maendeleo. Ni hivii serikali imejipanga kusambaza madaktari na vifaa tiba vya tiba ya kinywa na meno nchi nzima
Haya...
Wakati Tanzania ikipambana kukamilisha upanuzi wa ujenzi wa uwanja wa ndege ambao utakuwa bora zaidi na kuziwezesha ndege kubwa zaidi duniani kuweza kutua kwa wingi..hapa nimekuwekea list ya...
Habari zenu,Mimi Ni dereva wa uber/taxify mwaka sasa Trips 976+ combined, Ni mwezi sasa nimekuwa nikitafuta gari ya mkataba kwa ajili ya uber!
Changamoto nilizo kumbana nazo zina nikatisha tamaa...
MWANZA: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linakusudia kuanzisha kampeni dhidi ya madereva walevi kwa kutega maeneo ya karibu na baa na kuwapima madereva wote wanaotoka kwenye maeneo hayo ya starehe...
Je ulimwengu unaendeshwa na nguvu roho isiyoonekana? Je nguvuroho hiyo ndio itakuja kusimama na kuwa mwisho wa dunia?
Kumbuka kuna ulimwengu na kuna dunia...dunia inaonekana unaweza kuichora na...
Tumeuanza mwaka 2018 masaa machache yaliyopita... Nawiwa kuongea jambo ili nipate wepesi wa nafsi rohoni... Mizigo ya kiroho hutuliwa kwa kunena(kutubu) ama kulia... Mimi sijalia nanena...
Mwanamke Mmoja aliyejulikana kwa Jina la Ndilikuli Matupa Mkazi wa kijiji cha Mkangaula Kata ya Namalenga wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara ameshukuru wananchii wenye hasira Kali kwa Kumchoma Moto...
Katika maisha zipo hofu za aina nyingi zinazomtesa binadamu. Lakini mojawapo ya hofu kubwa ambayo inasumbua sana wengi ni hofu ya kuongea mbele za watu. Hii ni hofu ambayo huwatesa wengi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.