CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 855
Kuna taarifa kwamba, shirikisho la vyama vya wafanyakazi TUCTA litafanya mkutao na wanahabari kutoa tamko juu ya mafao. Je, TUCTA watakuja na nini jipya kwa serikali na wafanyakazi iwapo inaelezwa kuwa nao walishiriki zoezi zima la hii kitu inaitwa mafao na inayolalamikiwa na kila mfanyakazi?