Usibishane na mwanaCCM, msubiri siku yakiguswa maslahi yake ndipo umwambie "Huyu ni chaguo la Mungu, tumuunge mkono"

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Mama mmoja kindakindaki wa CCM alikuwa haelewi kitu kuhusu mzee baba, akikuwa akipenda kuhitimisha kuwa "Tanzania tumepata chaguo la Mungu, tumwombee". Siku akakumbwa na dhahma ya vyeti fake.

Hata kuja kazini kusalimia hajawahi tangu atumbuliwe. Mimi siungi mkono kughushi vyeti ila. Juzi nilikutana naye hapa mjini accidentally, nikamwambia tumwombee Rais maana ana kazi ngumu. Nilicheka moyoni.

Mama mmoja Pugu hivyohivyo alikuwa haambiwi kitu kuhusu rangi ya kijani. Kajumba kake kamebomolewa bila fidia, nikamwambia tuendelee kumuunga mkono Rais ili atufikishe pazuri zaidi.
 
Mama mmoja kindakindaki wa CCM alikuwa haelewi kitu kuhusu mzee baba, akikuwa akipenda kuhitimisha kuwa "Tanzania tumepata chaguo la Mungu, tumwombee". Siku akakumbwa na dhahma ya vyeti fake. Hata kuja kazini kusalimia hajawahi tangu atumbuliwe. Mimi siungi mkono kughushi vyeti ila. Juzi nilikutana naye hapa mjini accidentally, nikamwambia tumwombee Rais maana ana kazi ngumu. Nilicheka moyoni.

CLASSIC!
 
Ungewauliza kama wameacha kukishabikia Chama hicho.. na wakakujibu ndio.. hapo mada yako ingenoga.. vinginevyo unawatungia uongo tu kwa kutaka kujifurahisha wewe.
 
Mi mamangu mlezi ni YANGA DAMU! Mtumishi kule Halmashauri kwa Headphones! 2015 alitugomea kustaafu kwa hiyari na huku akiwa na salio zuri tu! Tangu mzee afariki mwaka jana, mama amekuwa dhohoful hal! Hapa namuombea huku naogopa kitakachotokea siku akijua hizi mambo za 25:75!
 
Mama mmoja kindakindaki wa CCM alikuwa haelewi kitu kuhusu mzee baba, akikuwa akipenda kuhitimisha kuwa "Tanzania tumepata chaguo la Mungu, tumwombee". Siku akakumbwa na dhahma ya vyeti fake. Hata kuja kazini kusalimia hajawahi tangu atumbuliwe. Mimi siungi mkono kughushi vyeti ila. Juzi nilikutana naye hapa mjini accidentally, nikamwambia tumwombee Rais maana ana kazi ngumu. Nilicheka moyoni.
Mama mmoja Pugu hivyohivyo alikuwa haambiwi kitu kuhusu rangi ya kijani. Kajumba kake kamebomolewa bila fidia, nikamwambia tuendelee kumuunga mkono Rais ili atufikishe pazuri zaidi.
Umbeee mtupu
 
Jamaa anatuumiza hawajui tu,kule tarime kutokana na huduma za kijamii kuwa mbovu wakati mwingine hakuna wakazi wa pale walitegemea kwa kiasi kikubwa mji wa migori(kenya) kwa huduma za kiafya ila kwa sasa wanakaziwa balaa jamaa limeharibu mahusiano baada ya kutaifisha mifugo yao,tarime penyenye ata Mashine ya X-ray hakuna
 
Mama mmoja kindakindaki wa CCM alikuwa haelewi kitu kuhusu mzee baba, akikuwa akipenda kuhitimisha kuwa "Tanzania tumepata chaguo la Mungu, tumwombee". Siku akakumbwa na dhahma ya vyeti fake. Hata kuja kazini kusalimia hajawahi tangu atumbuliwe. Mimi siungi mkono kughushi vyeti ila. Juzi nilikutana naye hapa mjini accidentally, nikamwambia tumwombee Rais maana ana kazi ngumu. Nilicheka moyoni.
Mama mmoja Pugu hivyohivyo alikuwa haambiwi kitu kuhusu rangi ya kijani. Kajumba kake kamebomolewa bila fidia, nikamwambia tuendelee kumuunga mkono Rais ili atufikishe pazuri zaidi.
Haha kuna jamaa yangu mwingine kipindi cha uchaguz kilimkuta yuko jkt na kabla ya kwenda huko alipataga nafas access bank na alikuwa yeye ni kijani damu na mifupa. Haa kasota miaka yote mwaka jana akaambiwa hawez jiunga na jeshi maana ni mbovu. Karud home ajira hakuna miaka kapoteza fidia no. Mimi nikimuonaga huwa namwambia ccm oyeee. Kuna siku nusu animwagie bia
 
Kwahiyo jamaa baada ya kumbongonyoa wakamwambia kuwa ni unfit?
Haha kuna jamaa yangu mwingine kipindi cha uchaguz kilimkuta yuko jkt na kabla ya kwenda huko alipataga nafas access bank na alikuwa yeye ni kijani damu na mifupa. Haa kasota miaka yote mwaka jana akaambiwa hawez jiunga na jeshi maana ni mbovu. Karud home ajira hakuna miaka kapoteza fidia no. Mimi nikimuonaga huwa namwambia ccm oyeee. Kuna siku nusu animwagie bia
 
Wazee waliobakisha mwaka mmoja-mitatu kustaafu sasa wameshaanza kunyooka. Mmoja kawa kama chizi namfahamu sana. Yaani mjamaa alikuwa akisikia fulani katumbuliwa moyo wake mweupeee leo yamemkuta.
Mi mamangu mlezi ni YANGA DAMU! Mtumishi kule Halmashauri kwa Headphones! 2015 alitugomea kustaafu kwa hiyari na huku akiwa na salio zuri tu! Tangu mzee afariki mwaka jana, mama amekuwa dhohoful hal! Hapa namuombea huku naogopa kitakachotokea siku akijua hizi mambo za 25:75!
 
'Magufuli anatumia sera zetu' -Bavicha NOv 2015-January 2016
Baada ya Chuma kukolea Moto wanatafutana sasa

Wakaingia Tena kwenye ushabiki wa kutaka Jk aachie Uenyekiti wa CCM wakidhan ndio atakomoka Matokeo yake Baada ya Mkwere kukabidhi chama tukaanza kushuhudia wanapinga Mkono juhudi

Kila kukicha afadhali ya jana
 
Back
Top Bottom