Jamani sisi wa Tz tukubali tu live show hatuwezi ni bado sana tena sana. Huko Iringa nasikia tu mikono juu, piga kelele sijui tuendelee au tusiendelee. Wewe msanii tumekuja kukuona uki perfom live...
Habari wakuu
Tatizo la Watu kulala ovyo haswa wakiwa katika maeneo tofauti tofauti ni changamoto kubwa sana. Mara nyingi usingizi huu huambatana na uchovu usioeleweka ,Yaani unahisi viungo vya...
Kwa muda sasa watu wamekua wakipendelea kupiga picha kwa mtindo wa ‘selfie’ na imekuwa ni kitu cha kawaida lakini kilichoishangaza dunia ni aina ya selfie ama picha anazopiga mrembo huyu kutoka...
Kweli mmeniboa, Kenya Airways wanaanza matangazo Kiswahili, Ethiopian Airways wanaanza na Lugha yao, ila malimbukeni nyie mnaanza Kingereza halafu Subtitle za Kichini, Kiswahili badaeee, sio siri...
Kwa dalili zilizowazi chadema itaishiwa pumuzi kama CUF Bara ilivyo kufikia oktoba 2020, hivyo napendekeza wadau wote wa Jamii forum tuanzishe chama chetu ambacho kitachukua ushindi mwaka 2025...
Jamani pesa tamu sana. Salaah wa Silent Ocean mdogo wake Gharib kagonga na gari watu wawili mitaa ya Viva Tower na wote kufa papo hapo na kakaa polisi dakika 40 tu na akaachiwa huru lakini...
Habari wakuu
Mwenye nyimbo iiitwayo MKONO WA BWANA
iloimbwa na wana kunyatanyata Tabata
Nimuone tafadhali
maana nimeisaka kila kona hadi youtube bila mafanikio
Wakuu huyu jamaaa ni mpiganaji sana ,ni mtu ambae hakubali kushindwa ,kiukweli ninamkubali mno
Leo mahakama kuu imemrejesha kwenye nafasi yake ya umakama wa TFF kiukweli huyu jamaaa ni mpiganaji...
Hivi mahabusu kukoje jamani , ni nyumba au ni nini ? Maana naonaga watu wanaotoka mahabusu ile wakienda mahakamani wanakuwa wamenawiri , nguo nzuri na safi , na wenye furaha ... Aliyewahi sota...
Anayejua dawa ya mchwa anisaidie,nilijenga nyumba Cha ajabu mchwa wameanza kujenga sakafuni ndani ya chumba ingawa sakafuni niliweka zege, anayejua dawa anisai adie
_Ili uanzishe biashara unatakiwa uhakikishe mtu unayemwajiri umemfanyia majaribio ya kutosha ili kupima uwezo wake na ujuzi ili awe na sifa, kwasababu kuajiri watu wenye uwezo mdogo inaua...
Bila kulenga udhalilishaji tupashane yaliyopo na yanayojiri kwa mtoto wa Afrika kwa njia ya picha
Naanza na hawa wachache, wakati unawaza matarajio ya mwanao malezi utakayompa ukumbuke uwepo wa...
1.Hili gari hapo chini upande za kushoto uwa linafanya usafiri kuanzia Mbagala Rangi Tatu mpaka Kivukoni Feri.
2.Hilo gari la chini linafanya usafiri kutoka Mbezi kwenda Makumbusho
3.Wale wa...
Habari wa ndugu,
Nina mwanangu wa miaka 9 -10, akiwa yeye na bibi yake wanapenda sana kwenda kwenye kanisa moja la KIROHO pale Mwenge ila cha kushangaza Jana kaja kaniuliza "atii Baba nasikia...
Wafanyakazi tisa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na kesi tatu tofauti dhidi wizi wa mali iliyokuwa...
Habari wakuu,
Muda si mrefu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa anazungumza na Waandishi wa habari.
Niwaletea kile atakachosema hapa hapa.
UPDATES:
Ndugu...