maliyamungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 564
- 412
Jamani pesa tamu sana. Salaah wa Silent Ocean mdogo wake Gharib kagonga na gari watu wawili mitaa ya Viva Tower na wote kufa papo hapo na kakaa polisi dakika 40 tu na akaachiwa huru lakini ingekuwa mwenzangu na mimi ningeozea ndani.
Dah! Kweli mwenye pesa sio mwenzio.
Dah! Kweli mwenye pesa sio mwenzio.