Rerurn of Undertaker is Back

Rerurn of Undertaker is Back

Kuna kundi moja la whatsap kuna kada wa ccm alinishitaki nimemtusi mwenyekiti wa ccm baada ya kumwuliza kwanini sheria zote zinatungwa kumlinda yeye badala ya rasilimali na raia kwani yeye ni nani kwamba haendi chooni au

Mkuu ,kuwa makini sana na hao walamba Soli.Wanaweza kukupoteza chap kisa Malaika wao kaguswa.
 
Hata hivyo Undertaker ameshakuwa mzee, watu wanajipigia tuu siku, hahaaaaa!
 
S
Kuna kundi moja la whatsap kuna kada wa ccm alinishitaki nimemtusi mwenyekiti wa ccm baada ya kumwuliza kwanini sheria zote zinatungwa kumlinda yeye badala ya rasilimali na raia kwani yeye ni nani kwamba haendi chooni au
i hope ulishinda hiyo kesi ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom