Ipi sababu ya kumhurumia Mbowe kuliko Esther Matiko?

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,681
Wanajf, nadhani ni vizuri kuwa makini Na maamuzi ikiwa pamoja Na kumhusisha Mungu katika maamuzi yoyote!
Naja kwenye maada, wapo wanajf wanao mhurumia Mbowe kutokana na uamuzi wake wa kuichezea mahakama kwa kutumia ruzuku zetu akakwea pipa hadi Ubeleji kwa dharau bila kutoa taarifa sahihi mahakamani.
Alichofanya Mbowe ndicho kilishawishi Ester Matiko kuiga mwenyekiti wake.Mbowe siyo wa kuhurumiwa hata kidogo kwa sababu alitenda kosa with clear intent.
Esther Matiko ndiye wa kuhurumiwa kwa sababu alitumwa kikazi japo naye alijisahau kutekeleza kwa usahihi utaratibu wa kimahakama.
Mwisho, tumuombee Esther Matiko zaidi kuliko kumfikiria Mbowe kupewa huruma kwa sababu aliyataka mwenyewe!
PEOPLESSSSS
 
Upuuz huu
 
Uandishi hauna mpangilio wa hovyo kabisa.
Mwisho uzi wako hauna mantiki yoyote ya kiakili muombee jiwe afunguke akili.
 
Wanajf, nadhani ni vizuri kuwa makini Na maamuzi ikiwa pamoja Na kumhusisha Mungu katika maamuzi yoyote!
Naja kwenye maada, wapo wanajf wanao mhurumia Mbowe kutokana na uamuzi wake wa kuichezea mahakama kwa kutumia ruzuku zetu akakwea pipa hadi Ubeleji kwa dharau bila kutoa taarifa sahihi mahakamani.
Alichofanya Mbowe ndicho kilishawishi Ester Matiko kuiga mwenyekiti wake.Mbowe siyo wa kuhurumiwa hata kidogo kwa sababu alitenda kosa with clear intent.
Esther Matiko ndiye wa kuhurumiwa kwa sababu alitumwa kikazi japo naye alijisahau kutekeleza kwa usahihi utaratibu wa kimahakama.
Mwisho, tumuombee Esther Matiko zaidi kuliko kumfikiria Mbowe kupewa huruma kwa sababu aliyataka mwenyewe!
PEOPLESSSSS
Ukikua utaacha
 
Back
Top Bottom