Una tutisha au una mtisha??? Zitto usitupe wasiwasi sisi watanzania wenzio...! Hofu hatuja zoea...! sisi tumezoea kuambiwa maendeleo ya miradi kama SGR, japo stigila siisikii sana... liganga na...
Nianze moja kwa moja kwenye mada husika.
Ninaishi na mwanamke na tulibahatika kupata mtoto mmoja wa kike. Tumejenga nyumba moja wakati tunaishi nae bila ndoa Ila mimi na huyu mama watoto wangu...
Habari za muda huu ndugu wanaJF,ninatumaini wote ni wazima afya
Ningependa kuwapa takwimu muhimu sana siku ya leo inayohusu members wa JF
Tanzania ina jumla ya watu wazima wasiopungua mil27 na...
Habari wana JF
Moja katika tamaduni nzuri ninayoiafiki ni ya hawa ndugu zetu wachagga kwenda kuwasalimia ndugu jamaa na marafiki huko nyumbani kwao migombani. Nadhani jambo hili ni jema na...
Wanakijiji wa kijiji cha Njoro Wilayani Same wameandika barua hiyo ya malalamiko baada ya kijiji chao kugawanywa kwa kukipandisha kitongoji cha Emunguri kuwa Kijiji
Wananchi wanasema kuwa...
Kama heading inavyosomeka , natafuta sehemu ya kukaa zanzibar/unguja kwa mwezi mmoja , kama naweza pata sehemu nayoweza lipia at least 200k per month itakuwa bora zaidi kuwe Kusafi na salama...
Hongera sana kwa kutimiza miaka 19 tangu kuanzishwa kwa radio yenu.Naamini waanzili(Ruge &kusaga) wa wazo la uwepo wa kituo hiki waliona mbali,kwani kinatoa mchango mkubwa sana katika...
Mzuqa
Tuvalu ni kisiwa nch island nation katikati ya pacific central pacific. Kuna watoto wakaree balaa jamii ya Polynesia yani huko ni pakutembelewa tu. Visiwa nchi vingine vya polynesian ni...
je wajua maldova ni nchi ndogo na maskini sasna lakin wan utajiri wa ubaguzi wa rangi?
pitia maelezo ya mwafrika anayokumbana nayo kila siku,
"Moldova is a small country geographically situated...
Habarini wakuu.
Kuna stori nyingi mtaani na pia kwenye mitandao yakijamii kumuhusu Benard Membe kuwa anakwamisha juhudi za Rais na pia anataka kugombea urais 2020 na hizi habari nasikia...
Wadau natafuta afisa kilimo kwa ajili ya iwekezaji kwenye kilimo cha umwagiliaji awe na uzoefu wa kulima mboga mboga mshahara mzuri na utaongezeka kulingana na utendaji wa kazi Nyumba atapewa na...
Wakuu jamvini,
Naomba kuuliza,
1) Madaraka ya Tanroads yamegawanyika kimikoa au kanda (zones), nikitaka kujua mikoa kadhaa inaungana kufanya kanda/zone au kila mkoa unajitegemea?
2)Mfano...
katika hali isiyokuwa ya kawaida zaidi ya ndege 500 walidondoka kutoka angani wakati mitambo ya 5g ilipokuwa ikifanyiwa majaribio huko nchini uholanzi
link hii hapa :
Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule Dogo Mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa...
Mkuu Wa mkoa Wa Singida Bi. Rehema Nchimbi amefuta likizo zote za watumishi waandamizi kwa muda usiojulikana mpaka pale ujenzi Wa vyumba vya madarasa utakapokamilika
Bi.Rehema Nchimbi amefikia...
Wanabodi 2020 twendeni na TL hao wengine wote lao moja tuangalie mtu anayeweza leta ufumbuzi wa matatizo ya nchi maana kunamikataba ya hovyo iliyo sainiwa na zao la CCM leo hii inatughalimu kama...
Habari za jumapili wakuu
wakubwa shikamooni
kama heading inavyojieleza hapo juu nina shida ya elfu kumi mwenzenu afu hapa mfukoni nina elfu 2 kwa hyo nimepungukiwa shilingi elfu 8 naomba msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.