Taja sifa moja kubwa ya mama yako

mama yangu anajua kupika vizuri sana.

ameipika familia yetu iwe na upendo,
amenipika mimi na sasa nakula matunda kutokana na yeye,
ameipika jamii tunayoishi kuwa na usawa
n.k.
 
Licha ya kunilea vyema kimaadili pamoja na kunifundisha kumcha Mungu, pia ana sifa ya kipekee ya kunirithisha chura kubwa ambayo ninayo mpaka leo hii.
Asante mama Baby!!!
 
Back
Top Bottom