Kelele za helkopta hadi kero

Linaenda linaenda linarudi sijui linasomba nini. Yaan ni kerokerokero.
masikini bwana ana matatizo sana; likipita Gari utasema linatimua vumbi, ikipita helkopita kelele, ikipita bodaboda magogo ya mnazi yanachimbiwa kama yote,akipita mtembea kwa miguu anaonekana hana nauli, mwenye Gari akishusha vioo anajionesha, akifunga vioo anaringa, mwanake akipita hana tako kosa, akiwa na tako miruzi kama yote.....

SIELEWAGI KABISA BINADAM ANATAKA NINI
 
Na akijitokeza mtu, akasema yeye hajawahi kuona helkopita, ataambia toka Shamba huko.

Alie mjini anapoyaona ya mjini anayalalamikia, kumbe yapo sehemu sahihi.
 
Usalama ni muhimu,lakini uwe wenye weledi.
Wangerusha hata drone,wasingeleta usumbufu kwa raia.
Hakuna tishio kubwa la kiusalama kiasi hiki,japo likiwepo hizo mbwembwe haziwezi kusaidia chochote pia
 
masikini bwana ana matatizo sana; likipita Gari utasema linatimua vumbi, ikipita helkopita kelele, ikipita bodaboda magogo ya mnazi yanachimbiwa kama yote,akipita mtembea kwa miguu anaonekana hana nauli, mwenye Gari akishusha vioo anajionesha, akifunga vioo anaringa, mwanake akipita hana tako kosa, akiwa na tako miruzi kama yote.....

SIELEWAGI KABISA BINADAM ANATAKA NINI
ukimfikria huyo kiumbe utapata shida sana
 
Back
Top Bottom